MATOKEO UALIMU MWAKA 2014



Attention to all candidates:
Bofya hapa kupata matokeo kamili
         DSEE RESULTS  2014
         DTE - KLERRUU T.C RESULTS 2014
         GATCE RESULTS 2014
       

MATOKEO MTIHANI WA KIDATO CHA SITA ACSEE MWAKA 2014



Matokeo yapo wazi bofya hapa kuangalia
                     ACSEE RSULTS 2014

TUZO YA MWALIMU BORA ZAIDI DUNIANI YAZINDULIWA

Tuzo hiyo yenye thamani ya dola milioni moja, itakabidhiwa mwalimu ambaye anafanya kazi ya ualimu na ambaye atathibitisha kuwa mchango wake kwa jamii umekuwa bora zaidi kuliko walimu wengine wote duniani.
Soma zaidi hapa.
chanzo: bbcswahili.com

AJIRA MPYA ZA WALIMU MWAKA 2014 MBIONI KUTANGAZWA MWISHONI WIKI HII.

Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili 2014. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari ni 18,093 (wakiwemo 5,416 wa Stashahada na 12,677 wenye shahada).
Orodha rasmi ya walimu wapya itangazwa kwenye
tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI na ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ifikapo tarehe........ Soma Zaidi

9TH EXHIBITIONS ON HIGHER EDUCATION, SCIENCE, TECHNOLOGY AND INNOVATION DIAMOND JUBILEE HALL, DAR ES SALAAM,TANZANIA.

The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform all stakeholders and the general public that, the 9thExhibitions on Higher Education, Science and Technology will be held from 21st to 23rd May 2014 at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam, Tanzania. The lead organizers of these exhibitions are the Tanzania Commission for Universities (TCU), the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) and.......... Read More

MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA TANZANIA; CHAMA KIPYA CHAANZISHWA.

Kiongozi ACT
Samson Mwigamba
 Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimeanzishwa na kupewa usajili wa muda huku kikitamba kuwa mbadala wa vyama vyote vilivyopo  .......... Soma Zaidi

CHANZO: Tovuti Gazeti, Mwananchi.

HATIMAYE CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT); WATANGAZA MGOGORO NA SERIKALI.

Raisi CWT
Gratian Mukoba
Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimetangaza mgogoro na Serikali kwa kile walichodai kutofanyiwa kazi madai yao mbalimbali yakiwamo malimbikizo ya mishahara na likizo ya walimu zaidi ya Sh61 bilioni.
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Gratian Mukoba alisema jana kuwa, katika madai hayo.............................. Soma zaidi
CHANZO: Tovuti Gazeti, Mwananchi

NECTA YAFAFANUA ALAMA ZA UFAULU KIDATO CHA NNE 2013.

Dr. Charles Msonde
Kaimu Katibu Mtendaji, NECTA
NECTA YAFAFANUA VIWANGO NA ALAMA ZILIZOTUMIKA KATIKA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE ZILIZOTUMIKA KWA MARA YA KWANZA KWA WAHITIMU WA MWAKA 2013
    NECTA imetoa ufafanuzi wa viwango vya alama vilivyotumika, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla vilivyotumika kwa mara ya kwanza mwaka huu......... Soma zaidi



Chanzo: Habari LEO

TAKWIMU MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013

 
Kaimu Katibu Mtendaji, Necta
Dk.Charles Msonde     

AJIRA MPYA ZA WALIMU WAHITIMU MWAKA 2013; MHESHIMIWA WAZIRI KAWAMBWA ANENA KATIKA KURASA YAKE YA FACEBOOK:

"Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI itatangaza ajira mpya za walimu. TAMISEMI wameshakamilisha kupanga ajira mpya na Wizara ya Elimu imeshirikiana nao. Kinachosubiriwa ni HAZINA kupeleka fedha katika kila Halmashauri. Tunalifatilia jambo hilo usiku na mchana. Tutakamilisha si muda mrefu - lengo Wizara husika yaani TAMISEMI itangaze mwisho wa mwezi huu au mwanzoni Machi. Tunaomba subira, tunaelewa unyonge mnaopata."

CWT KUTANGAZA MGOGORO NA SERIKALI

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania,
Gratian Mukoba
CHAMA CHA WALIMU NCHINI (CWT) KUTANGAZA MGOGORO NA SERIKALI KAMA SERIKALI HAITAKAMILISHA MADAI YA WALIMU YA MALIMBIKIZI YA MISHAHARA NA LIKIZO IFIKAPO FEBRUARI MWISHONI

"TANGAZO KWA WAJASIRIAMALI WOTE"


TAZAMA HAPA ORODHA YA MALIGHAFI NA BEI ZAKE TOKA MJASIRIAMALI KWANZA ENTERPRISES

SADC ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOL, 2014

The Southern African Development Community (SADC) Secretariat has organised Students Essay Writing Competition for Secondary School students in form I-VI.
The selected topic for the year (2014) is:
"Climate Change is having an adverse effect on Socio-economic development in the Region. What should the Education Sector do to mitigate the impact on the youth?"

CLICK HERE to view set of question which are meant to guide you when responding to the above question.

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015


        Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, anatangaza nafasi za Mafunzo Maalumu ya Ualimu Tarajali Ngazi ya Stashahada kwa masomo ya Sayansi na Hisabati. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo washiriki katika taaluma ya masomo mawili .... SOMA ZAIDI