MATANGAZO


WIZARA YA ELIMU

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU KWA NGAZI ZA STASHAHADA NA CHETI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu ngazi Stashahada na Cheti kwa Mwaka wa masomo 2014/2015

                        

*********************************************************

WIZARA YA FEDHA

Mgao wa fedha za matumizi ya kawaida (Block Grant) kwa mwezi Februari na March, 2014 kwenda Serikali za Mitaa ZIKIWEMO FEDHA KWAAJILI YA NAULI NA POSHO ZA WALIMU WA AJIRA MPYA 2013/2014.

      >>>PHASE II  -  FEBRUARY
>>>PHASE II  -  MARCH


******** & *******


SADC ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOLS, 2014
The Southern African Development Community (SADC) Secretariat has organized Students Essay Writing Competition for Secondary School student in Forms I-VI.

The selected topic for the year (2014) is:
Climate Change is having an adverse effect on Socio-economic development in the Region. What should the Education Sector do to mitigate the impact on the youth?

The set of Questions below are meant to guide you when responding to the above Question above. In answering the main question above, answer all the listed below:
  1. Explain the causes of global warming and how a change of one or two degrees in global average temperatures can have an impact on our lives?
  2. Discuss the effects of global warming and climate change on the socio-economic development in the SADC Region.
  3.  Discuss the successes and failure of the Kyoto Protocol as an instrument that regulates member states on the addressing issues on climate change?
  4. What are the main challenges in addressing the effects of global warming and climate change? Is it too late to do anything about climate change?
  5. What should the SADC Education Sector do to mitigate the impact of climate change on the youth?
The essay should not be more than 2000 words long and not less than 1000 words. Students are expected to begin writing immediately and submit their essays to the heads of schools. Every school head will select the best essay and send it to The Ministry of Education and Vocational Training not later than 22nd April 2014. The National adjudication will take place from 05th to 12th May in order to get three entries which will be submitted to the SADC secretariat in Botswana.

Where students have access to computers, they are advised to type their essays and submit both the soft and hard copies. Students who will type their essays will have to sign the hard copies before they submit them to their heads of schools.

In addition, heads of schools are supposed to ensure that the students adhere to the following guidelines:
  • The essay shall be written in English language.
  • The front page will display the name, sex, class, school address and stamp, Headmistress/Headmaster’s email address, signature and phone no, region, country and the title of the essay.
  •  The handwritten essays will be written on one side of the A4 paper with double margin of two centimetres.


Please use all possible means to let schools in your region be aware of this competition and participate effectively and make it a point to meet the stated deadline.

The same Information can be found on the website of the Ministry

Wishing you and your schools all the best. 

Paulina K. Mkonongo
 For: PERMANENT SECRETARY



*********************  &  ***********************


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

Simu: 022-2110146/2110150/2, 211679 Faksi: 022-2113271 Tovuti: www.moe.go.tz

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 

     Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, anatangaza nafasi za Mafunzo Maalumu ya Ualimu Tarajali Ngazi ya Stashahada kwa masomo ya Sayansi na Hisabati. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo washiriki katika taaluma ya masomo mawili ya kufundishia katika shule za Sekondari. 

Mafunzo haya yatafanyika kwa utaratibu ufuatao: 
(i) Watakaochaguliwa watapatiwa mafunzo ya miezi mitatu ili kuimarisha taaluma ya masomo ya Sayansi na Hisabati waliyosoma katika Kidato cha Tano na cha Sita. Mwisho wa mafunzo haya, washiriki watafanya Mtihani Maalumu kwa lengo la kutathmini uwezo wao (competence) katika masomo tajwa. 
(ii) Watakaofaulu Mtihani wa mafunzo haya watajiunga na mafunzo ya ualimu ya kawaida Ngazi ya Stashahada kwa miaka miwili kuanzia mwezi Julai 2014.

SIFA ZA WAOMBAJI 
     Waombaji wawe wamehitimu Kidato cha Sita kati ya mwaka 1998 na 2013 na kufaulu kwa kiwango kisichopungua ‘Subsidiary pass’ mbili katika tahasusi za PCB, PCM, PGM, CBG, CBA na CBN.

MAELEKEZO MUHIMU 
(i) Waombaji wa mafunzo ya Ualimu watume maombi ofisi za Maafisaelimu wa Mikoa au Wilaya; au watume maombi yao kwa njia ya posta yakionesha anuani zao (za posta, au anuani ya barua pepe na simu); pamoja na nakala za vyeti vya ufaulu wa Kidato cha 4 na cha 6; 
(ii) Majibu kwa watakaochaguliwa kujiunga na mafunzo haya yatatolewa kwenye Tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi: www.moe.go.tz; OWM-TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz; na katika mbao za matangazo Wizarani, ofisi za Maafisaelimu wa Mikoa na Wilaya; 
(iii) Barua za kujiunga na mafunzo kwa watakaochaguliwa zitatolewa na vyuo watakavyopangwa kwa kutumia anuani zao; na 
(iv) Tangazo hili lipo pia katika tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi: www.moe.go.tz; OWM-TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz na kwenye mbao za matangazo Wizarani, Maafisaelimu wa Mikoa au Wilaya; na Vyuo vya Ualimu. 
Maombi yatumwe kwa anuaniifuatayo: 
KATIBU MKUU, WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, S.L.P. 9121, DAR ES SALAAM (Aione: Mkurugenzi, Idara ya Elimu ya Ualimu) 

MWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI TAREHE 28/02/2014.