TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu ngazi Stashahada na Cheti kwa Mwaka wa masomo 2014/2015.