TAKWIMU MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013

 
Kaimu Katibu Mtendaji, Necta
Dk.Charles Msonde     

AJIRA MPYA ZA WALIMU WAHITIMU MWAKA 2013; MHESHIMIWA WAZIRI KAWAMBWA ANENA KATIKA KURASA YAKE YA FACEBOOK:

"Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI itatangaza ajira mpya za walimu. TAMISEMI wameshakamilisha kupanga ajira mpya na Wizara ya Elimu imeshirikiana nao. Kinachosubiriwa ni HAZINA kupeleka fedha katika kila Halmashauri. Tunalifatilia jambo hilo usiku na mchana. Tutakamilisha si muda mrefu - lengo Wizara husika yaani TAMISEMI itangaze mwisho wa mwezi huu au mwanzoni Machi. Tunaomba subira, tunaelewa unyonge mnaopata."