MATOKEO UALIMU MWAKA 2014
Attention to all candidates:
Bofya hapa kupata matokeo kamili
DSEE RESULTS 2014
DTE - KLERRUU T.C RESULTS 2014
GATCE RESULTS 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu ngazi Stashahada na Cheti kwa Mwaka wa masomo 2014/2015.
WALIMU WA AJIRA MPYA WALIOBADILISHIWA VITUO
Walimu wa ajira mpya ambao maombi yao ya kubadilishiwa vituo yamekubaliwa.
Bofya hapa kwa taarifa zaidi.
Bofya hapa kwa taarifa zaidi.
TUZO YA MWALIMU BORA ZAIDI DUNIANI YAZINDULIWA
Tuzo hiyo yenye thamani ya dola milioni moja, itakabidhiwa mwalimu ambaye anafanya kazi ya ualimu na ambaye atathibitisha kuwa mchango wake kwa jamii umekuwa bora zaidi kuliko walimu wengine wote duniani.
Soma zaidi hapa.
Soma zaidi hapa.
chanzo: bbcswahili.com
TANGAZO! TANGAZO! KWA WALIMU WOTE WA AJIRA MPYA 2013/2014 MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.
AJIRA MPYA ZA WALIMU MWAKA 2014 MBIONI KUTANGAZWA MWISHONI WIKI HII.

Orodha rasmi ya walimu wapya itangazwa kwenye
tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI na ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ifikapo
tarehe........ Soma Zaidi
9TH EXHIBITIONS ON HIGHER EDUCATION, SCIENCE, TECHNOLOGY AND INNOVATION DIAMOND JUBILEE HALL, DAR ES SALAAM,TANZANIA.
The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform all stakeholders and the general public that, the 9thExhibitions on Higher Education, Science and Technology will be held from 21st to 23rd May 2014 at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam, Tanzania. The lead organizers of these exhibitions are the Tanzania Commission for Universities (TCU), the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) and.......... Read More
MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA TANZANIA; CHAMA KIPYA CHAANZISHWA.
Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimeanzishwa na kupewa usajili wa muda huku kikitamba kuwa mbadala wa vyama vyote vilivyopo .......... Soma Zaidi
CHANZO: Tovuti Gazeti, Mwananchi.
HATIMAYE CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT); WATANGAZA MGOGORO NA SERIKALI.
![]() |
Raisi CWT Gratian Mukoba |
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Gratian Mukoba alisema jana kuwa, katika madai hayo.............................. Soma zaidi
CHANZO: Tovuti Gazeti, Mwananchi
NECTA YAFAFANUA ALAMA ZA UFAULU KIDATO CHA NNE 2013.
![]() |
Dr. Charles Msonde Kaimu Katibu Mtendaji, NECTA |
NECTA imetoa ufafanuzi wa viwango vya alama vilivyotumika, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla vilivyotumika kwa mara ya kwanza mwaka huu......... Soma zaidi
Chanzo: Habari LEO
AJIRA MPYA ZA WALIMU WAHITIMU MWAKA 2013; MHESHIMIWA WAZIRI KAWAMBWA ANENA KATIKA KURASA YAKE YA FACEBOOK:
"Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI itatangaza ajira mpya za walimu. TAMISEMI wameshakamilisha kupanga ajira mpya na Wizara ya Elimu imeshirikiana nao. Kinachosubiriwa ni HAZINA kupeleka fedha katika kila Halmashauri. Tunalifatilia jambo hilo usiku na mchana. Tutakamilisha si muda mrefu - lengo Wizara husika yaani TAMISEMI itangaze mwisho wa mwezi huu au mwanzoni Machi. Tunaomba subira, tunaelewa unyonge mnaopata."
MATOKEO CSEE 2013 AZANIA SECONDARY SCHOOL HAYA HAPA
CWT KUTANGAZA MGOGORO NA SERIKALI
"TANGAZO KWA WAJASIRIAMALI WOTE"
SADC ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOL, 2014
The selected topic for the year (2014) is:
"Climate Change is having an adverse effect on Socio-economic development in the Region. What should the Education Sector do to mitigate the impact on the youth?"
CLICK HERE to view set of question which are meant to guide you when responding to the above question.
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, anatangaza nafasi za Mafunzo Maalumu ya Ualimu Tarajali Ngazi ya Stashahada kwa masomo ya Sayansi na Hisabati. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo washiriki katika taaluma ya masomo mawili .... SOMA ZAIDI
IT-ESSENTIALS EXCELLENT PAST PAPERS ( 100% ) CHAPTER 01 - 05
CISCO NETWORKING ACADEMY
IT-ESSENTIALS EXCELLENT PAST PAPERS ( 100% )
CHAPTER 01 - 05
Subscribe to:
Posts (Atom)