TANGAZO! TANGAZO! KWA WALIMU WOTE WA AJIRA MPYA 2013/2014 MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.
Usipuuzie mwalimu, kama wewe ni mmoja wa waajiliwa katika ajira mpya za ualimu kama zilivyotangazwa na TAMISEMI 2013/14, Yafahamu mambo ya msingi kuzingatia kuelekea kwenye ajira yako