
Jumla ya Walimu wapya 36,021
ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa
rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili
2014. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao
hufundisha katika shule za Msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari ni
18,093 (wakiwemo 5,416 wa Stashahada na 12,677 wenye shahada).
Orodha rasmi ya walimu wapya itangazwa kwenye
tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI na ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ifikapo
tarehe........
Soma Zaidi