SERIKALI KUPITIA TOVUTI YAKE IMETANGAZA KUAJILI WALIMU WAPYA ILI KUZIBA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI NA WALIMU WASTAAFU, WALIOACHA AU KUFUKUZWA KAZI NA WALIOFARIKI.
Tuzo hiyo yenye thamani ya dola milioni moja, itakabidhiwa mwalimu ambaye anafanya kazi ya ualimu na ambaye atathibitisha kuwa mchango wake kwa jamii umekuwa bora zaidi kuliko walimu wengine wote duniani. Soma zaidi hapa.
Usipuuzie mwalimu, kama wewe ni mmoja wa waajiliwa katika ajira mpya za ualimu kama zilivyotangazwa na TAMISEMI 2013/14, Yafahamu mambo ya msingi kuzingatia kuelekea kwenye ajira yako